Mwanzo 41:18 - Swahili Revised Union Version na tazama, ng'ombe saba wanatoka mtoni, wanono, wazuri, wakajilisha nyasini. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema nikaona ng'ombe saba wazuri na wanono wakitoka mtoni na kula nyasi. Biblia Habari Njema - BHND nikaona ng'ombe saba wazuri na wanono wakitoka mtoni na kula nyasi. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza nikaona ng'ombe saba wazuri na wanono wakitoka mtoni na kula nyasi. Neno: Bibilia Takatifu Nikawaona ng’ombe saba, wazuri na wanono, wakijitokeza kutoka mtoni, wakaja kujilisha kwenye matete. Neno: Maandiko Matakatifu nikawaona ng’ombe saba, wazuri na wanono, wakijitokeza kutoka mtoni wakaja kujilisha kwenye matete. BIBLIA KISWAHILI na tazama, ng'ombe saba wanatoka mtoni, wanono, wazuri, wakajilisha nyasini. |
Kisha, tazama, ng'ombe saba wengine wakapanda baada yao, dhaifu, wabaya sana, wamekonda; katika nchi yote ya Misri sijaona kama hao kwa udhaifu.
BWANA, Mungu wa Israeli, asema hivi, Kama zilivyo tini hizi nzuri, ndivyo nitakavyowaangalia mateka wa Yuda, niliowatoa katika mahali hapa, waende mpaka nchi ya Wakaldayo, wapate mema.
Na habari za tini zile mbovu, zisizoweza kuliwa, kwa kuwa ni mbovu sana; hakika, asema, BWANA, ndivyo nitakavyomtoa Sedekia, mfalme wa Yuda, na wakuu wake, na mabaki ya Yerusalemu, waliosalia katika nchi hii, na hao wanaokaa katika nchi ya Misri.