Mwanzo 38:6 - Swahili Revised Union Version Yuda akamwoza mke Eri, mzaliwa wake wa kwanza, na jina lake huyo mke ni Tamari. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Baadaye Yuda alimwoza mtoto wake wa kwanza Eri, kwa mwanamke aitwaye Tamari. Biblia Habari Njema - BHND Baadaye Yuda alimwoza mtoto wake wa kwanza Eri, kwa mwanamke aitwaye Tamari. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Baadaye Yuda alimwoza mtoto wake wa kwanza Eri, kwa mwanamke aitwaye Tamari. Neno: Bibilia Takatifu Yuda akamtwalia Eri, mzaliwa wake wa kwanza, mke aliyeitwa Tamari. Neno: Maandiko Matakatifu Yuda akampatia Eri, mzaliwa wake wa kwanza, mke aitwaye Tamari. BIBLIA KISWAHILI Yuda akamwoza mke Eri, mzaliwa wake wa kwanza, na jina lake huyo mke ni Tamari. |
nami nitakuapisha kwa BWANA, Mungu wa mbingu, na Mungu wa nchi, kwamba hutamtwalia mwanangu mke katika binti za Wakanaani ambao nakaa kati yao;
Akaendelea, akazaa tena mwana mwingine, akamwita jina lake Shela. Naye Yuda alikuwa huko Kezibu, alipomzaa.