Mwanzo 21:21 - Swahili Revised Union Version21 Akakaa katika jangwa la Parani; mama yake akamtwalia mke katika nchi ya Misri. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema21 Alikuwa akikaa katika nyika za Parani, na mama yake akamwoza mke kutoka nchi ya Misri. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND21 Alikuwa akikaa katika nyika za Parani, na mama yake akamwoza mke kutoka nchi ya Misri. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza21 Alikuwa akikaa katika nyika za Parani, na mama yake akamwoza mke kutoka nchi ya Misri. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu21 Alipokuwa akiishi katika Jangwa la Parani, mama yake akamtwalia mke kutoka Misri. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu21 Alipokuwa akiishi katika Jangwa la Parani, mama yake akampatia mke kutoka Misri. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI21 Akakaa katika jangwa la Parani; mama yake akamtwalia mke katika nchi ya Misri. Tazama sura |