Mwanzo 38:6 - Swahili Revised Union Version6 Yuda akamwoza mke Eri, mzaliwa wake wa kwanza, na jina lake huyo mke ni Tamari. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema6 Baadaye Yuda alimwoza mtoto wake wa kwanza Eri, kwa mwanamke aitwaye Tamari. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND6 Baadaye Yuda alimwoza mtoto wake wa kwanza Eri, kwa mwanamke aitwaye Tamari. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza6 Baadaye Yuda alimwoza mtoto wake wa kwanza Eri, kwa mwanamke aitwaye Tamari. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu6 Yuda akamtwalia Eri, mzaliwa wake wa kwanza, mke aliyeitwa Tamari. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu6 Yuda akampatia Eri, mzaliwa wake wa kwanza, mke aitwaye Tamari. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI6 Yuda akamwoza mke Eri, mzaliwa wake wa kwanza, na jina lake huyo mke ni Tamari. Tazama sura |