Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Mathayo 1:3 - Swahili Revised Union Version

3 Yuda akamzaa Peresi na Zera kwa Tamari; Peresi akamzaa Esromu; Esromu akamzaa Aramu;

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

3 Yuda alimzaa Peresi na Zera (mama yao alikuwa Tamari), Peresi alimzaa Hesroni, Hesroni alimzaa Rami,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

3 Yuda alimzaa Peresi na Zera (mama yao alikuwa Tamari), Peresi alimzaa Hesroni, Hesroni alimzaa Rami,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

3 Yuda alimzaa Peresi na Zera (mama yao alikuwa Tamari), Peresi alimzaa Hesroni, Hesroni alimzaa Rami,

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

3 Yuda akawazaa Peresi na Zera, ambao mama yao alikuwa Tamari, Peresi akamzaa Esromu, Esromu akamzaa Aramu,

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

3 Yuda akawazaa Peresi na Zera, ambao mama yao alikuwa Tamari, Peresi akamzaa Hesroni, Hesroni akamzaa Aramu,

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

3 Yuda akamzaa Peresi na Zera kwa Tamari; Peresi akamzaa Esromu; Esromu akamzaa Aramu;

Tazama sura Nakili




Mathayo 1:3
13 Marejeleo ya Msalaba  

Yuda akamwambia Tamari mkwewe, Ukae mjane nyumbani mwa baba yako hata Shela mwanangu atakapokuwa mtu mzima, maana alisema, Asipate kufa yeye kama nduguze. Basi Tamari akaenda, akakaa nyumbani mwa babaye.


Yuda akamwoza mke Eri, mzaliwa wake wa kwanza, na jina lake huyo mke ni Tamari.


Na wana wa Yuda; Eri, na Onani, na Shela, na Peresi, na Zera; lakini Eri na Onani walikufa katika nchi ya Kanaani. Na wana wa Peresi, ni Hesroni, na Hamuli.


Wana wa Yuda; Peresi, na Hesroni, na Karmi, na Huri, na Shobali.


Na wa wana wa Zera; Yeueli, na ndugu zao; watu mia sita na tisini.


Abrahamu alimzaa Isaka; Isaka akamzaa Yakobo; Yakobo akamzaa Yuda na ndugu zake;


Aramu akamzaa Aminadabu; Aminadabu akamzaa Nashoni; Nashoni akamzaa Salmoni;


wa Aminadabu, wa Admini, wa Hesroni, wa Peresi, wa Yuda,


Tufuate:

Matangazo


Matangazo