Mwanzo 2:13 - Swahili Revised Union Version Na jina la mto wa pili ni Gihoni; ndio unaozunguka nchi yote ya Kushi. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Jina la mto wa pili ni Gihoni; huo waizunguka nchi yote ya Kushi. Biblia Habari Njema - BHND Jina la mto wa pili ni Gihoni; huo waizunguka nchi yote ya Kushi. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Jina la mto wa pili ni Gihoni; huo waizunguka nchi yote ya Kushi. Neno: Bibilia Takatifu Jina la mto wa pili ni Gihoni, ambao huzunguka nchi yote ya Kushi. Neno: Maandiko Matakatifu Jina la mto wa pili ni Gihoni, ambao huzunguka nchi yote ya Kushi. BIBLIA KISWAHILI Na jina la mto wa pili ni Gihoni; ndio unaozunguka nchi yote ya Kushi. |
Jina la wa kwanza ni Pishoni; ndio unaozunguka nchi yote ya Havila, ambako kuna dhahabu;
Na jina la mto wa tatu ni Hidekeli; ndio unaopita mbele ya Ashuru. Na mto wa nne ni Frati.
Na itakuwa katika siku hiyo, Bwana atapeleka mkono wake mara ya pili, ili ajipatie watu wake watakaosalia, kutoka Ashuru, na kutoka Misri, na kutoka Pathrosi, na kutoka Kushi, na kutoka Elamu, na kutoka Shinari, na kutoka Hamathi, na kutoka visiwa vya bahari.