Mwanzo 2:14 - Swahili Revised Union Version14 Na jina la mto wa tatu ni Hidekeli; ndio unaopita mbele ya Ashuru. Na mto wa nne ni Frati. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema14 Jina la mto wa tatu ni Tigri, nao watiririkia upande wa mashariki wa nchi ya Ashuru; na jina la mto wa nne ni Eufrate. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND14 Jina la mto wa tatu ni Tigri, nao watiririkia upande wa mashariki wa nchi ya Ashuru; na jina la mto wa nne ni Eufrate. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza14 Jina la mto wa tatu ni Tigri, nao watiririkia upande wa mashariki wa nchi ya Ashuru; na jina la mto wa nne ni Eufrate. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu14 Jina la mto wa tatu ni Tigrisi, unaopita mashariki mwa Ashuru. Mto wa nne ni Frati. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu14 Jina la mto wa tatu ni Tigrisi, unaopita mashariki ya Ashuru. Mto wa nne ni Frati. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI14 Na jina la mto wa tatu ni Hidekeli; ndio unaopita mbele ya Ashuru. Na mto wa nne ni Frati. Tazama sura |