Mwanzo 2:15 - Swahili Revised Union Version15 BWANA Mungu akamtwaa huyo mtu, akamweka katika bustani ya Edeni, ailime na kuitunza. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema15 Basi, Mwenyezi-Mungu akamtwaa huyo mwanamume, akamweka katika bustani ya Edeni, ailime na kuitunza. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND15 Basi, Mwenyezi-Mungu akamtwaa huyo mwanamume, akamweka katika bustani ya Edeni, ailime na kuitunza. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza15 Basi, Mwenyezi-Mungu akamtwaa huyo mwanamume, akamweka katika bustani ya Edeni, ailime na kuitunza. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu15 Bwana Mwenyezi Mungu akamchukua huyo mtu, akamweka kwenye Bustani ya Edeni ailime na kuitunza. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu15 bwana Mwenyezi Mungu akamchukua huyo mtu, akamweka kwenye Bustani ya Edeni ailime na kuitunza. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI15 BWANA Mungu akamtwaa huyo mtu, akamweka katika bustani ya Edeni, ailime na kuitunza. Tazama sura |