Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Mwanzo 10:8 - Swahili Revised Union Version

8 Kushi akamzaa Nimrodi, akaanza kuwa mtu hodari katika nchi.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

8 Kushi alikuwa baba yake Nimrodi ambaye alikuwa shujaa wa kwanza duniani.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

8 Kushi alikuwa baba yake Nimrodi ambaye alikuwa shujaa wa kwanza duniani.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

8 Kushi alikuwa baba yake Nimrodi ambaye alikuwa shujaa wa kwanza duniani.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

8 Kushi akamzaa Nimrodi, ambaye alikua akawa shujaa mwenye nguvu duniani.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

8 Kushi akamzaa Nimrodi, ambaye alikua akawa mtu shujaa duniani.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

8 Kushi akamzaa Nimrodi, akaanza kuwa mtu hodari katika nchi.

Tazama sura Nakili




Mwanzo 10:8
6 Marejeleo ya Msalaba  

Na wana wa Kushi ni Seba, na Havila, na Sabta, na Raama, na Sabteka. Na wana wa Raama ni Sheba, na Dedani.


Alikuwa hodari kuwinda wanyama mbele za BWANA. Kwa hiyo watu hunena, Kama Nimrodi, hodari wa kuwinda wanyama mbele za BWANA.


Na jina la mto wa pili ni Gihoni; ndio unaozunguka nchi yote ya Kushi.


Kushi naye akamzaa Nimrodi; yeye akaanza kuwa mtu hodari katika nchi.


Ipelekayo wajumbe wake kwa njia ya bahari, Na katika vyombo vya manyasi juu ya maji. Nendeni, wajumbe wepesi, kwa watu warefu, laini; Watu watishao tangu mwanzo wao hata sasa; Taifa la wenye nguvu, wakanyagao watu, Ambao mito inakata nchi yao.


Nao wataiharibu nchi ya Ashuru kwa upanga, na nchi ya Nimrodi katika malango yake; naye atatuokoa na Mwashuri, atakapoingia katika nchi yetu, na kukanyaga ndani ya mipaka yetu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo