Mwanzo 10:9 - Swahili Revised Union Version9 Alikuwa hodari kuwinda wanyama mbele za BWANA. Kwa hiyo watu hunena, Kama Nimrodi, hodari wa kuwinda wanyama mbele za BWANA. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema9 Alikuwa mwindaji shujaa mbele ya Mwenyezi-Mungu, ndiyo maana kuna msemo usemao, “Kama Nimrodi mwindaji shujaa mbele ya Mwenyezi-Mungu.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND9 Alikuwa mwindaji shujaa mbele ya Mwenyezi-Mungu, ndiyo maana kuna msemo usemao, “Kama Nimrodi mwindaji shujaa mbele ya Mwenyezi-Mungu.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza9 Alikuwa mwindaji shujaa mbele ya Mwenyezi-Mungu, ndiyo maana kuna msemo usemao, “Kama Nimrodi mwindaji shujaa mbele ya Mwenyezi-Mungu.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu9 Alikuwa mwindaji hodari mbele za Mwenyezi Mungu; Ndiyo maana watu husema, “Kama Nimrodi, mwindaji hodari mbele za Mwenyezi Mungu.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu9 Alikuwa mwindaji hodari mbele za bwana. Ndiyo sababu watu husema, “Kama Nimrodi, hodari wa kuwinda mbele za bwana.” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI9 Alikuwa hodari kuwinda wanyama mbele za BWANA. Kwa hiyo watu hunena, Kama Nimrodi, hodari wa kuwinda wanyama mbele za BWANA. Tazama sura |