Mwanzo 2:12 - Swahili Revised Union Version12 na dhahabu ya nchi ile ni njema; huko kuna bedola, na vito shoham. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema12 Dhahabu ya nchi hiyo ni safi kabisa. Huko pia kuna marashi yaitwayo bedola na vito viitwavyo shohamu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND12 Dhahabu ya nchi hiyo ni safi kabisa. Huko pia kuna marashi yaitwayo bedola na vito viitwavyo shohamu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza12 Dhahabu ya nchi hiyo ni safi kabisa. Huko pia kuna marashi yaitwayo bedola na vito viitwavyo shohamu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu12 (Dhahabu ya nchi hiyo ni nzuri; bedola na vito shohamu pia hupatikana huko.) Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu12 (Dhahabu ya nchi hiyo ni nzuri, bedola na vito shohamu pia hupatikana huko.) Tazama suraBIBLIA KISWAHILI12 na dhahabu ya nchi ile ni njema; huko kuna bedola, na vito shoham. Tazama sura |
Ulikuwa ndani ya Adeni, bustani ya Mungu; kila jiwe la thamani lilikuwa kifuniko chako, akiki, na yakuti manjano, na almasi, na zabarajadi, na shohamu, na yaspi, na yakuti samawi, na zumaridi, na baharamani, na dhahabu; kazi ya matari yako na filimbi zako ilikuwa ndani yako; katika siku ya kuumbwa kwako zilitengenezwa tayari.