Mwanzo 10:16 - Swahili Revised Union Version na Myebusi, na Mwamori, na Mgirgashi, Matoleo zaidiBiblia Habari Njema na pia babu yao Wayebusi, Waamori, Wagirgashi, Biblia Habari Njema - BHND na pia babu yao Wayebusi, Waamori, Wagirgashi, Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza na pia babu yao Wayebusi, Waamori, Wagirgashi, Neno: Bibilia Takatifu Wayebusi, Waamori, Wagirgashi, Neno: Maandiko Matakatifu Wayebusi, Waamori, Wagirgashi, BIBLIA KISWAHILI na Myebusi, na Mwamori, na Mgirgashi, |
Siku hiyo Gadi akamwendea Daudi, akamwambia, Haya! Kwea wewe, ukamwinulie BWANA madhabahu penye kiwanja cha Arauna, Myebusi.
Nami nitaondoa damu yake kinywani mwake, na machukizo yake nitayatoa katika meno yake; yeye naye atakuwa ni mabaki kwa Mungu wetu; naye atakuwa kama mtu mkuu katika Yuda, na Ekroni kama Myebusi.
BWANA, Mungu wako, atakapokutia katika nchi uendayo kuimiliki, atakapoyang'oa mataifa mengi watoke mbele yako, Mhiti, na Mgirgashi, na Mwamori, na Mkanaani, na Mperizi, na Mhivi, na Myebusi, mataifa saba makubwa yenye nguvu kukupita wewe;
Lakini wana wa Benyamini hawakuwafukuza Wayebusi waliokaa mji wa Yerusalemu; bali Wayebusi walikaa pamoja na wana wa Benyamini ndani ya Yerusalemu hata hivi leo.