Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

2 Samueli 24:18 - Swahili Revised Union Version

18 Siku hiyo Gadi akamwendea Daudi, akamwambia, Haya! Kwea wewe, ukamwinulie BWANA madhabahu penye kiwanja cha Arauna, Myebusi.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

18 Siku hiyohiyo Gadi akamwendea Daudi, akamwambia, “Panda juu, ukamjengee Mwenyezi-Mungu madhabahu, katika kiwanja cha kupuria nafaka cha Arauna, Myebusi.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

18 Siku hiyohiyo Gadi akamwendea Daudi, akamwambia, “Panda juu, ukamjengee Mwenyezi-Mungu madhabahu, katika kiwanja cha kupuria nafaka cha Arauna, Myebusi.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

18 Siku hiyohiyo Gadi akamwendea Daudi, akamwambia, “Panda juu, ukamjengee Mwenyezi-Mungu madhabahu, katika kiwanja cha kupuria nafaka cha Arauna, Myebusi.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

18 Siku hiyo Gadi akamwendea Daudi na kumwambia, “Panda ukamjengee Mwenyezi Mungu madhabahu kwenye sakafu ya kupuria ya Arauna Myebusi.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

18 Siku hiyo Gadi akamwendea Daudi na kumwambia, “Panda ukamjengee bwana madhabahu kwenye sakafu ya kupuria ya Arauna Myebusi.”

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

18 Siku hiyo Gadi akamwendea Daudi, akamwambia, Haya! Kwea wewe, ukamwinulie BWANA madhabahu penye kiwanja cha Arauna, Myebusi.

Tazama sura Nakili

2 Samueli 24:18
6 Marejeleo ya Msalaba  

Wakaja mpaka uwanja wa kupuria nafaka wa Atadi, uliyo ng'ambo ya Yordani. Wakaomboleza huko maombolezo makuu, mazito sana. Akafanya matanga ya baba yake siku saba.

Na Daudi alipoondoka asubuhi, neno la BWANA likamjia nabii Gadi, mwonaji wake Daudi, na kusema,

Basi Daudi akakwea kama alivyoagizwa na Gadi, kama BWANA alivyoamuru.

Ndipo Sulemani akaanza kuijenga nyumba ya BWANA huko Yerusalemu, juu ya mlima Moria, pale BWANA alipomtokea Daudi babaye alipotengeza mahali pale alipoagiza Daudi, katika kiwanja cha kupuria cha Arauna Myebusi.

Nami nitaondoa damu yake kinywani mwake, na machukizo yake nitayatoa katika meno yake; yeye naye atakuwa ni mabaki kwa Mungu wetu; naye atakuwa kama mtu mkuu katika Yuda, na Ekroni kama Myebusi.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo