2 Samueli 24:19 - Swahili Revised Union Version19 Basi Daudi akakwea kama alivyoagizwa na Gadi, kama BWANA alivyoamuru. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema19 Basi, Daudi akapanda juu kufuatana na neno la Gadi kama Mwenyezi-Mungu alivyomwamuru. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND19 Basi, Daudi akapanda juu kufuatana na neno la Gadi kama Mwenyezi-Mungu alivyomwamuru. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza19 Basi, Daudi akapanda juu kufuatana na neno la Gadi kama Mwenyezi-Mungu alivyomwamuru. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu19 Kwa hiyo Daudi akakwea kama vile Mwenyezi Mungu alivyokuwa ameamuru kwa kinywa cha Gadi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu19 Kwa hiyo Daudi akakwea kama vile bwana alivyokuwa ameamuru kwa kinywa cha Gadi. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI19 Basi Daudi akakwea kama alivyoagizwa na Gadi, kama BWANA alivyoamuru. Tazama sura |