Mwanzo 1:19 - Swahili Revised Union Version Ikawa jioni ikawa asubuhi, siku ya nne. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Ikawa jioni, ikawa asubuhi; siku ya nne. Biblia Habari Njema - BHND Ikawa jioni, ikawa asubuhi; siku ya nne. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Ikawa jioni, ikawa asubuhi; siku ya nne. Neno: Bibilia Takatifu Ikawa jioni, ikawa asubuhi, siku ya nne. Neno: Maandiko Matakatifu Ikawa jioni, ikawa asubuhi, siku ya nne. BIBLIA KISWAHILI Ikawa jioni ikawa asubuhi, siku ya nne. |
Mungu akasema, Maji na yajawe kwa wingi na viumbe vyenye uhai, na ndege waruke juu ya nchi katika anga la mbingu.
Mungu akaona kila kitu alichokifanya, na tazama, ni chema sana. Ikawa jioni ikawa asubuhi, siku ya sita.
Mungu akaiita nuru Mchana, na giza akaliita Usiku. Ikawa jioni ikawa asubuhi, siku ya kwanza.
Yesu akamwambia, Amin, nakuambia wewe, Leo, usiku huu, kabla ya kuwika jogoo mara mbili, utanikana mara tatu.