Mwanzo 1:8 - Swahili Revised Union Version8 Mungu akaliita lile anga Mbingu. Ikawa jioni ikawa asubuhi, siku ya pili. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema8 Mungu akaliita anga “Mbingu.” Ikawa jioni, ikawa asubuhi; siku ya pili. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND8 Mungu akaliita anga “Mbingu.” Ikawa jioni, ikawa asubuhi; siku ya pili. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza8 Mungu akaliita anga “Mbingu.” Ikawa jioni, ikawa asubuhi; siku ya pili. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu8 Mungu akaiita hiyo nafasi “anga”. Ikawa jioni, ikawa asubuhi, siku ya pili. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu8 Mwenyezi Mungu akaiita hiyo nafasi “anga.” Ikawa jioni, ikawa asubuhi, siku ya pili. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI8 Mungu akaliita lile anga Mbingu. Ikawa jioni ikawa asubuhi, siku ya pili. Tazama sura |