Mwanzo 1:20 - Swahili Revised Union Version20 Mungu akasema, Maji na yajawe kwa wingi na viumbe vyenye uhai, na ndege waruke juu ya nchi katika anga la mbingu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema20 Mungu akasema, “Maji na yatoe makundi ya viumbe hai na ndege waruke angani.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND20 Mungu akasema, “Maji na yatoe makundi ya viumbe hai na ndege waruke angani.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza20 Mungu akasema, “Maji na yatoe makundi ya viumbe hai na ndege waruke angani.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu20 Mungu akasema, “Kuwepo na viumbe hai tele kwenye maji, nao ndege waruke juu ya dunia katika nafasi ya anga.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu20 Mwenyezi Mungu akasema, “Kuwepo na viumbe hai tele kwenye maji, nao ndege waruke juu ya dunia katika nafasi ya anga.” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI20 Mungu akasema, Maji na yajawe kwa wingi na viumbe vyenye uhai, na ndege waruke juu ya nchi katika anga la mbingu. Tazama sura |