Yakobo akamjibu Farao, Siku za kuishi kwangu ni miaka mia moja na thelathini; siku za maisha yangu zimekuwa chache, tena za taabu, wala hazikufikia siku za maisha ya baba zangu katika siku za kuishi kwao.
Mhubiri 1:4 - Swahili Revised Union Version Kizazi huenda, kizazi huja; nayo dunia hudumu daima. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Kizazi chapita na kingine chaja, lakini dunia yadumu daima. Biblia Habari Njema - BHND Kizazi chapita na kingine chaja, lakini dunia yadumu daima. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Kizazi chapita na kingine chaja, lakini dunia yadumu daima. Neno: Bibilia Takatifu Vizazi huja na vizazi hupita, lakini dunia inadumu milele. Neno: Maandiko Matakatifu Vizazi huja na vizazi hupita, lakini dunia inadumu milele. BIBLIA KISWAHILI Kizazi huenda, kizazi huja; nayo dunia hudumu daima. |
Yakobo akamjibu Farao, Siku za kuishi kwangu ni miaka mia moja na thelathini; siku za maisha yangu zimekuwa chache, tena za taabu, wala hazikufikia siku za maisha ya baba zangu katika siku za kuishi kwao.
Kwa maana ni nani ajuaye yaliyo mema ya mwanadamu katika maisha yake, siku zote za maisha yake ya ubatili, anayoishi kama kivuli? Kwa maana ni nani awezaye kumweleza mwanadamu mambo yatakayofuata baada yake chini ya jua?