Mhubiri 1:5 - Swahili Revised Union Version5 Jua lachomoza, na jua lashuka, na kufanya haraka kwenda mahali pa maawio yake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema5 Jua lachomoza na kutua; laharakisha kwenda machweoni. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND5 Jua lachomoza na kutua; laharakisha kwenda machweoni. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza5 Jua lachomoza na kutua; laharakisha kwenda machweoni. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu5 Jua huchomoza na jua huzama, nalo huharakisha kurudi mawioni. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu5 Jua huchomoza na jua huzama, nalo huharakisha kurudi mawioni. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI5 Jua lachomoza, na jua lashuka, na kufanya haraka kwenda mahali pa mawio yake. Tazama sura |