Mhubiri 1:6 - Swahili Revised Union Version6 Upepo huvuma kuelekea kusini, kisha huvuma kuelekea kaskazini; hugeuka daima katika mwendo wake, nao huyarudia mazunguko yake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema6 Upepo wavuma kusini, wazunguka hadi kaskazini. Wavuma na kuvuma tena, warudia mzunguko wake daima. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND6 Upepo wavuma kusini, wazunguka hadi kaskazini. Wavuma na kuvuma tena, warudia mzunguko wake daima. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza6 Upepo wavuma kusini, wazunguka hadi kaskazini. Wavuma na kuvuma tena, warudia mzunguko wake daima. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu6 Upepo huvuma kuelekea kusini na kugeukia kaskazini; hurudia mzunguko huo huo, daima ukirudia njia yake. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu6 Upepo huvuma kuelekea kusini na kugeukia kaskazini, hurudia mzunguko huo huo, daima ukirudia njia yake. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI6 Upepo huvuma kuelekea kusini, kisha huvuma kuelekea kaskazini; hugeuka daima katika mwendo wake, nao huyarudia mazunguko yake. Tazama sura |