Mhubiri 1:7 - Swahili Revised Union Version7 Mito yote huingia baharini, lakini bahari haijai; huko iendako mito, ndiko irudiko tena. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema7 Mito yote hutiririkia baharini, lakini bahari kamwe haijai; huko ambako mito hutiririkia ndiko huko inakotoka tena. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND7 Mito yote hutiririkia baharini, lakini bahari kamwe haijai; huko ambako mito hutiririkia ndiko huko inakotoka tena. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza7 Mito yote hutiririkia baharini, lakini bahari kamwe haijai; huko ambako mito hutiririkia ndiko huko inakotoka tena. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu7 Mito yote hutiririka baharini, hata hivyo bahari kamwe haijai. Mahali mito inapotoka, huko hurudi tena. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu7 Mito yote hutiririka baharini, hata hivyo bahari kamwe haijai. Mahali mito inapotoka, huko hurudi tena. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI7 Mito yote huingia baharini, lakini bahari haijai; huko iendako mito, ndiko irudiko tena. Tazama sura |