Methali 9:16 - Swahili Revised Union Version Kila aliye mjinga na aingie humu. Tena amwambia mtu aliyepungukiwa na akili, Matoleo zaidiBiblia Habari Njema “Yeyote aliye mjinga na aje hapa!” Na yeyote aliye mpumbavu humwambia: Biblia Habari Njema - BHND “Yeyote aliye mjinga na aje hapa!” Na yeyote aliye mpumbavu humwambia: Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza “Yeyote aliye mjinga na aje hapa!” Na yeyote aliye mpumbavu humwambia: Neno: Bibilia Takatifu Anawaambia wale wasio na akili, “Wote ambao ni wajinga na waje hapa ndani! Neno: Maandiko Matakatifu Anawaambia wale wasio na akili, “Wote ambao ni wajinga na waje hapa ndani!” BIBLIA KISWAHILI Kila aliye mjinga na aingie humu. Tena amwambia mtu aliyepungukiwa na akili, |