Methali 9:13 - Swahili Revised Union Version Mwanamke mpumbavu hupiga kelele, Ni mjinga, hajui kitu. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Mwanamke mpumbavu ana kelele, hajui kitu wala hana haya. Biblia Habari Njema - BHND Mwanamke mpumbavu ana kelele, hajui kitu wala hana haya. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Mwanamke mpumbavu ana kelele, hajui kitu wala hana haya. Neno: Bibilia Takatifu Mwanamke aitwaye Mpumbavu ana kelele; hana adabu na hana maarifa. Neno: Maandiko Matakatifu Mwanamke aitwaye Mpumbavu ana kelele; hana adabu na hana maarifa. BIBLIA KISWAHILI Mwanamke mpumbavu hupiga kelele, Ni mjinga, hajui kitu. |
Ni afadhali kukaa katika pembe ya darini, Kuliko katika nyumba pana pamoja na mwanamke mgomvi.
Jinsi moyo wako ulivyokuwa dhaifu, asema Bwana MUNGU, ikiwa unafanya mambo hayo yote, kazi ya mwanamke mzinzi,
amejivuna; wala hafahamu neno lolote; bali ana wazimu wa kuwazia habari za maswali, na mashindano ya maneno, ambayo katika hayo hutoka husuda, na ugomvi, na matusi, na shuku mbaya;