Methali 8:2 - Swahili Revised Union Version Juu ya mahali palipoinuka karibu na njia, Penye njia panda, ndipo asimamapo. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Juu penye mwinuko karibu na njia, katika njia panda ndipo alipojiweka. Biblia Habari Njema - BHND Juu penye mwinuko karibu na njia, katika njia panda ndipo alipojiweka. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Juu penye mwinuko karibu na njia, katika njia panda ndipo alipojiweka. Neno: Bibilia Takatifu Juu ya miinuko karibu na njia, penye njia panda, ndipo asimamapo; Neno: Maandiko Matakatifu Juu ya miinuko karibu na njia, penye njia panda, ndipo asimamapo; BIBLIA KISWAHILI Juu ya mahali palipoinuka karibu na njia, Penye njia panda, ndipo asimamapo. |