Methali 8:2 - Swahili Revised Union Version2 Juu ya mahali palipoinuka karibu na njia, Penye njia panda, ndipo asimamapo. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema2 Juu penye mwinuko karibu na njia, katika njia panda ndipo alipojiweka. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND2 Juu penye mwinuko karibu na njia, katika njia panda ndipo alipojiweka. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza2 Juu penye mwinuko karibu na njia, katika njia panda ndipo alipojiweka. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu2 Juu ya miinuko karibu na njia, penye njia panda, ndipo asimamapo; Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu2 Juu ya miinuko karibu na njia, penye njia panda, ndipo asimamapo; Tazama suraBIBLIA KISWAHILI2 Juu ya mahali palipoinuka karibu na njia, Penye njia panda, ndipo asimamapo. Tazama sura |