Methali 8:3 - Swahili Revised Union Version3 Karibu na malango, mahali pa kuingia mjini, Mahali pa kuyaingilia malango anapiga kelele. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema3 Karibu na malango ya kuingilia mjini, mahali wanapoingia watu anaita kwa sauti: Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND3 Karibu na malango ya kuingilia mjini, mahali wanapoingia watu anaita kwa sauti: Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza3 Karibu na malango ya kuingilia mjini, mahali wanapoingia watu anaita kwa sauti: Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu3 kando ya malango yaelekeayo mjini, kwenye maingilio, hulia kwa sauti kubwa, akisema: Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu3 kando ya malango yaelekeayo mjini, kwenye maingilio, hulia kwa sauti kubwa, akisema: Tazama suraBIBLIA KISWAHILI3 Karibu na malango, mahali pa kuingia mjini, Mahali pa kuyaingilia malango anapiga kelele. Tazama sura |