Ikawa, siku moja, akaingia nyumbani afanye kazi yake, na hapakuwa na mtu yeyote kati ya wale wa nyumbani karibu;
Methali 7:9 - Swahili Revised Union Version Wakati wa magharibi, wakati wa jioni, Usiku wa manane, gizani. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Ilikuwa yapata wakati wa jioni, giza na usiku vilikuwa vimeanza kuingia. Biblia Habari Njema - BHND Ilikuwa yapata wakati wa jioni, giza na usiku vilikuwa vimeanza kuingia. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Ilikuwa yapata wakati wa jioni, giza na usiku vilikuwa vimeanza kuingia. Neno: Bibilia Takatifu wakati wa machweo, jua likipungua nuru yake, giza la usiku lilipokuwa likiingia. Neno: Maandiko Matakatifu wakati wa machweo, jua likipungua nuru yake, giza la usiku lilipokuwa likiingia. BIBLIA KISWAHILI Wakati wa magharibi, wakati wa jioni, Usiku wa manane, gizani. |
Ikawa, siku moja, akaingia nyumbani afanye kazi yake, na hapakuwa na mtu yeyote kati ya wale wa nyumbani karibu;
Nanyi mtamweka hata siku ya kumi na nne ya mwezi ule ule; na kusanyiko lote la mkutano wa Israeli watamchinja jioni.