Methali 7:19 - Swahili Revised Union Version Maana mume wangu hayumo nyumbani, Amekwenda safari ya mbali; Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Mume wangu hayumo nyumbani, amekwenda safari ya mbali. Biblia Habari Njema - BHND Mume wangu hayumo nyumbani, amekwenda safari ya mbali. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Mume wangu hayumo nyumbani, amekwenda safari ya mbali. Neno: Bibilia Takatifu Mume wangu hayupo nyumbani; ameenda safari ya mbali. Neno: Maandiko Matakatifu Mume wangu hayupo nyumbani; amekwenda safari ya mbali. BIBLIA KISWAHILI Maana mume wangu hayumo nyumbani, Amekwenda safari ya mbali; |
Lakini fahamuni neno hili; kama mwenye nyumba angaliujua ule wakati mwizi atakaokuja, angalikesha, wala asingaliiacha nyumba yake kuvunjwa.
Lakini fahamuni neno hili, Kwamba mwenye nyumba angalijua saa atakayokuja mwizi, angalikesha, wala asingaliacha nyumba yake kuvunjwa.