Mathayo 20:11 - Swahili Revised Union Version11 Basi wakiisha kuipokea, wakamnung'unikia mwenye nyumba, Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema11 Wakazipokea fedha zao, wakaanza kumnungunikia yule bwana. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND11 Wakazipokea fedha zao, wakaanza kumnungunikia yule bwana. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza11 Wakazipokea fedha zao, wakaanza kumnung'unikia yule bwana. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu11 Walipoipokea, wakaanza kulalamika dhidi ya yule mwenye shamba, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu11 Walipoipokea, wakaanza kulalamika dhidi ya yule mwenye shamba, Tazama suraBIBLIA KISWAHILI11 Basi wakiisha kuipokea, wakamnung'unikia mwenye nyumba, Tazama sura |