Methali 7:20 - Swahili Revised Union Version20 Amechukua mfuko wa fedha mkononi; Atarudi wakati wa mwezi mpevu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema20 Amechukua bunda la fedha; hatarejea nyumbani karibuni.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND20 Amechukua bunda la fedha; hatarejea nyumbani karibuni.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza20 Amechukua bunda la fedha; hatarejea nyumbani karibuni.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu20 Amechukua mkoba uliojazwa fedha na hatakuwa nyumbani karibuni.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu20 Amechukua mkoba uliojazwa fedha na hatakuwepo nyumbani karibuni.” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI20 Amechukua mfuko wa fedha mkononi; Atarudi wakati wa mwezi mpevu. Tazama sura |
Angalia, najenga nyumba kwa jina la BWANA, Mungu wangu, ili kumfanyia wakfu, ya kufukizia mbele zake fukizo la manukato, na ya mkate wa wonyesho wa daima, na ya sadaka za kuteketezwa za asubuhi na jioni, na za siku za sabato, na za mwezi mpya, na za sikukuu zilizoagizwa za BWANA, Mungu wetu. Hili ni agizo la milele kwa Israeli.