Methali 7:18 - Swahili Revised Union Version18 Haya, na tushibe upendo hadi asubuhi, Tujifurahishe nafsi zetu kwa mahaba. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema18 Njoo tulale pamoja mpaka asubuhi; njoo tujifurahishe kwa mahaba. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND18 Njoo tulale pamoja mpaka asubuhi; njoo tujifurahishe kwa mahaba. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza18 Njoo tulale pamoja mpaka asubuhi; njoo tujifurahishe kwa mahaba. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu18 Njoo, tuzame katika mapenzi hadi asubuhi; tujifurahishe wenyewe kwa mapenzi! Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu18 Njoo, tuzame katika mapenzi mpaka asubuhi; tujifurahishe wenyewe kwa mapenzi! Tazama suraBIBLIA KISWAHILI18 Haya, na tushibe upendo hadi asubuhi, Tujifurahishe nafsi zetu kwa mahaba. Tazama sura |