Methali 7:15 - Swahili Revised Union Version Ndiyo maana nikatoka nikulaki, Nikutafute uso wako kwa bidii, nami nimekuona. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Ndio maana nimetoka ili nikulaki, nimekutafuta kwa hamu nikakupata. Biblia Habari Njema - BHND Ndio maana nimetoka ili nikulaki, nimekutafuta kwa hamu nikakupata. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Ndio maana nimetoka ili nikulaki, nimekutafuta kwa hamu nikakupata. Neno: Bibilia Takatifu Kwa hiyo nimetoka nje kukulaki; nimekutafuta na nimekupata! Neno: Maandiko Matakatifu Kwa hiyo nimetoka nje kukulaki; nimekutafuta na nimekupata! BIBLIA KISWAHILI Ndiyo maana nikatoka nikulaki, Nikutafute uso wako kwa bidii, nami nimekuona. |