Mwanzo 39:7 - Swahili Revised Union Version7 Ikawa baada ya mambo hayo, mke wa bwana wake akamtamani Yusufu, akamwambia, Lala nami. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema7 Basi, baada ya muda fulani, mke wa Potifa akamtamani Yosefu na kumwambia, “Lala na mimi”. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND7 Basi, baada ya muda fulani, mke wa Potifa akamtamani Yosefu na kumwambia, “Lala na mimi”. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza7 Basi, baada ya muda fulani, mke wa Potifa akamtamani Yosefu na kumwambia, “Lala na mimi”. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu7 Baada ya kitambo, mke wa Potifa akamtamani Yusufu, akamwambia, “Njoo, ukutane nami kimwili!” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu7 baada ya kitambo mke wa Potifa akamtamani Yusufu, akamwambia, “Njoo, ukutane nami kimwili!” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI7 Ikawa baada ya mambo hayo, mke wa bwana wake akamtamani Yusufu, akamwambia, Lala nami. Tazama sura |