Jambo hilo litakuwa ni ishara mkononi mwako, na utepe katikati ya macho yako; kwa kuwa BWANA alitutoa Misri kwa uwezo wa mkono wake.
Methali 6:21 - Swahili Revised Union Version Yafunge hayo katika moyo wako daima; Jivike hayo shingoni mwako. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema yaweke daima moyoni mwako, yafunge shingoni mwako. Biblia Habari Njema - BHND yaweke daima moyoni mwako, yafunge shingoni mwako. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza yaweke daima moyoni mwako, yafunge shingoni mwako. Neno: Bibilia Takatifu Yafunge katika moyo wako daima, yakaze kuizunguka shingo yako. Neno: Maandiko Matakatifu Yafunge katika moyo wako daima, yakaze kuizunguka shingo yako. BIBLIA KISWAHILI Yafunge hayo katika moyo wako daima; Jivike hayo shingoni mwako. |
Jambo hilo litakuwa ni ishara mkononi mwako, na utepe katikati ya macho yako; kwa kuwa BWANA alitutoa Misri kwa uwezo wa mkono wake.
Nayo itakuwa ishara kwako katika mkono wako, na kwa ukumbusho kati ya macho yako, ili kwamba sheria ya BWANA ipate kuwa kinywani mwako; kwani BWANA alikuondoa utoke Misri kwa mkono wenye uwezo.
Rehema na kweli zisiachane nawe; Zifunge shingoni mwako; Ziandike juu ya kibao cha moyo wako.
mnadhihirishwa kwamba mmekuwa barua ya Kristo tuliyoiandaa, iliyoandikwa si kwa wino, bali kwa Roho wa Mungu aliye hai; si katika vibao vya mawe, ila katika vibao ambavyo ni mioyo ya nyama.