Kutoka 13:9 - Swahili Revised Union Version9 Nayo itakuwa ishara kwako katika mkono wako, na kwa ukumbusho kati ya macho yako, ili kwamba sheria ya BWANA ipate kuwa kinywani mwako; kwani BWANA alikuondoa utoke Misri kwa mkono wenye uwezo. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema9 Adhimisho hilo litakuwa ukumbusho, kama alama katika mikono yenu au katika paji la nyuso zenu; ili iwakumbushe daima sheria ya Mwenyezi-Mungu. Maana, Mwenyezi-Mungu amewatoa nchini Misri kwa mkono wenye nguvu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND9 Adhimisho hilo litakuwa ukumbusho, kama alama katika mikono yenu au katika paji la nyuso zenu; ili iwakumbushe daima sheria ya Mwenyezi-Mungu. Maana, Mwenyezi-Mungu amewatoa nchini Misri kwa mkono wenye nguvu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza9 Adhimisho hilo litakuwa ukumbusho, kama alama katika mikono yenu au katika paji la nyuso zenu; ili iwakumbushe daima sheria ya Mwenyezi-Mungu. Maana, Mwenyezi-Mungu amewatoa nchini Misri kwa mkono wenye nguvu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu9 Adhimisho hili, litakuwa kama alama kwenye mkono wako na ukumbusho katika paji lako la uso, kwamba sheria ya Mwenyezi Mungu inapaswa iwe kinywani mwako. Kwa kuwa Mwenyezi Mungu alikutoa katika nchi ya Misri kwa mkono wake wenye nguvu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu9 Adhimisho hili litakuwa kama alama kwenye mkono wako na ukumbusho katika paji lako la uso, kwamba sheria ya bwana inapaswa iwe kinywani mwako. Kwa kuwa bwana alikutoa katika nchi ya Misri kwa mkono wake wenye nguvu. Tazama sura |