Kutoka 13:8 - Swahili Revised Union Version8 Nawe utamwambia mwanao siku hiyo, ukisema, Ni kwa sababu ya hayo BWANA aliyonifanyia hapo nilipotoka Misri. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema8 Siku hiyo mtawaambia watoto wenu kwamba mnafanya hivyo kwa sababu ya jambo alilowafanyia Mwenyezi-Mungu mlipoondoka nchini Misri. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND8 Siku hiyo mtawaambia watoto wenu kwamba mnafanya hivyo kwa sababu ya jambo alilowafanyia Mwenyezi-Mungu mlipoondoka nchini Misri. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza8 Siku hiyo mtawaambia watoto wenu kwamba mnafanya hivyo kwa sababu ya jambo alilowafanyia Mwenyezi-Mungu mlipoondoka nchini Misri. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu8 Siku ile utamwambia mwanao, ‘Nafanya hivi kwa sababu ya jambo ambalo Mwenyezi Mungu alinitendea nilipotoka katika nchi ya Misri.’ Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu8 Siku ile utamwambia mwanao, ‘Nafanya hivi kwa sababu ya jambo ambalo bwana alinitendea nilipotoka katika nchi ya Misri.’ Tazama sura |