Methali 5:6 - Swahili Revised Union Version Hata asiweze kuiona njia sawa ya uzima; Njia zake ni za kutangatanga wala hana habari. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Yeye haijali njia ya uhai, njia zake ni za kutangatanga, wala hajui. Biblia Habari Njema - BHND Yeye haijali njia ya uhai, njia zake ni za kutangatanga, wala hajui. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Yeye haijali njia ya uhai, njia zake ni za kutangatanga, wala hajui. Neno: Bibilia Takatifu Yeye hafikirii kuhusu njia ya uzima; njia zake zimepotoka, lakini yeye hajui. Neno: Maandiko Matakatifu Yeye hafikiri juu ya njia ya uzima; njia zake zimepotoka, lakini yeye hajui. BIBLIA KISWAHILI Hata asiweze kuiona njia sawa ya uzima; Njia zake ni za kutangatanga wala hana habari. |
Utanijulisha njia ya uzima; Mbele za uso wako kuna furaha tele; Na katika mkono wako wa kulia Mna mema ya milele.
Hivyo ndivyo mwendo wa mwanamke mzinifu; Hula, akapangusa kinywa chake, Akasema, Sikufanya uovu.
Kwa maana njia za mwanadamu ziko mbele ya macho ya BWANA, Na mienendo yake yote huitafakari.
wenye macho yajaayo uzinzi, watu wasiokoma kutenda dhambi, wenye kuhadaa roho zisizo imara, wenye mioyo iliyozoezwa kutamani, wana wa laana;