Methali 5:21 - Swahili Revised Union Version21 Kwa maana njia za mwanadamu ziko mbele ya macho ya BWANA, Na mienendo yake yote huitafakari. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema21 Kumbuka njia za mtu zi wazi mbele ya Mwenyezi-Mungu; yeye anaona kila hatua anayochukua binadamu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND21 Kumbuka njia za mtu zi wazi mbele ya Mwenyezi-Mungu; yeye anaona kila hatua anayochukua binadamu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza21 Kumbuka njia za mtu zi wazi mbele ya Mwenyezi-Mungu; yeye anaona kila hatua anayochukua binadamu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu21 Kwa maana njia za mtu ni wazi kabisa mbele za Mwenyezi Mungu, naye huyapima mapito yake yote. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu21 Kwa maana njia za mtu ni wazi kabisa mbele za bwana, naye huyapima mapito yake yote. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI21 Kwa maana njia za mwanadamu ziko mbele ya macho ya BWANA, Na mienendo yake yote huitafakari. Tazama sura |