Methali 5:7 - Swahili Revised Union Version7 Basi, wanangu, nisikilizeni sasa, Wala msiache maneno ya kinywa changu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema7 Sasa enyi wanangu, nisikilizeni, wala msisahau maneno ya kinywa changu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND7 Sasa enyi wanangu, nisikilizeni, wala msisahau maneno ya kinywa changu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza7 Sasa enyi wanangu, nisikilizeni, wala msisahau maneno ya kinywa changu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu7 Sasa basi wanangu, nisikilizeni; msiache ninalowaambia. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu7 Sasa basi wanangu, nisikilizeni; msiache ninalowaambia. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI7 Basi, wanangu, nisikilizeni sasa, Wala msiache maneno ya kinywa changu. Tazama sura |