Methali 4:6 - Swahili Revised Union Version Usimwache, naye atakusitiri; Umpende, naye atakulinda. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Usimwache Hekima, naye atakutunza; umpende, naye atakulinda. Biblia Habari Njema - BHND Usimwache Hekima, naye atakutunza; umpende, naye atakulinda. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Usimwache Hekima, naye atakutunza; umpende, naye atakulinda. Neno: Bibilia Takatifu Usimwache hekima naye atakuweka salama; mpende, naye atakulinda. Neno: Maandiko Matakatifu Usimwache hekima naye atakuweka salama; mpende, naye atakulinda. BIBLIA KISWAHILI Usimwache, naye atakusitiri; Umpende, naye atakulinda. |
na katika madanganyo yote ya udhalimu kwa hao wanaopotea; kwa sababu hawakukubali kuipenda ile kweli, wapate kuokolewa.