Methali 3:8 - Swahili Revised Union Version Itakuwa afya mwilini pako, Na mafuta mifupani mwako. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Hiyo itakuwa dawa mwilini mwako, na kiburudisho mifupani mwako. Biblia Habari Njema - BHND Hiyo itakuwa dawa mwilini mwako, na kiburudisho mifupani mwako. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Hiyo itakuwa dawa mwilini mwako, na kiburudisho mifupani mwako. Neno: Bibilia Takatifu Hii itakuletea afya mwilini mwako, na lishe kwenye mifupa yako. Neno: Maandiko Matakatifu Hii itakuletea afya mwilini mwako, na mafuta kwenye mifupa yako. BIBLIA KISWAHILI Itakuwa afya mwilini pako, Na mafuta mifupani mwako. |
Toka wayo wa mguu hadi kichwani hamna uzima ndani yake; bali jeraha na machubuko na vidonda vitokavyo usaha; havikufungwa, havikuzongwazongwa, wala havikulainishwa kwa mafuta.
Nanyi mtaona, na mioyo yenu itafurahi, na mifupa yenu itasitawi kama majani mabichi; na mkono wa BWANA utajulikana, uwaelekeao watumishi wake, naye atawaonea adui zake ghadhabu.