Methali 3:8 - Swahili Revised Union Version8 Itakuwa afya mwilini pako, Na mafuta mifupani mwako. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema8 Hiyo itakuwa dawa mwilini mwako, na kiburudisho mifupani mwako. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND8 Hiyo itakuwa dawa mwilini mwako, na kiburudisho mifupani mwako. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza8 Hiyo itakuwa dawa mwilini mwako, na kiburudisho mifupani mwako. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu8 Hii itakuletea afya mwilini mwako, na lishe kwenye mifupa yako. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu8 Hii itakuletea afya mwilini mwako, na mafuta kwenye mifupa yako. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI8 Itakuwa afya mwilini pako, Na mafuta mifupani mwako. Tazama sura |