Methali 3:31 - Swahili Revised Union Version Usimhusudu mtu mwenye ujeuri, Wala usiichague mojawapo ya njia zake. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Usimwonee wivu mtu mkatili, wala usiige mwenendo wake. Biblia Habari Njema - BHND Usimwonee wivu mtu mkatili, wala usiige mwenendo wake. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Usimwonee wivu mtu mkatili, wala usiige mwenendo wake. Neno: Bibilia Takatifu Usimwonee wivu mtu mwenye jeuri wala kuchagua njia yake yoyote, Neno: Maandiko Matakatifu Usimwonee wivu mtu mwenye jeuri wala kuchagua njia yake iwayo yote, BIBLIA KISWAHILI Usimhusudu mtu mwenye ujeuri, Wala usiichague mojawapo ya njia zake. |
Ujapokuwa unaona maskini kuonewa, na hukumu na haki kuondolewa kwa jeuri katika jimbo, usilistaajabie jambo hilo; kwa sababu, Aliye Juu kuliko walio juu huangalia; Tena wako walio juu kupita hao.
husuda, ulevi, ulafi, na mambo yanayofanana na hayo, katika hayo nawaambia mapema, kama nilivyokwisha kuwaambia, ya kwamba watu watendao mambo ya jinsi hiyo hawataurithi ufalme wa Mungu.