Kwa ajili ya ulimi wao wataangamizwa; Wote wawaonao watatetemeka kwa hofu. Wote wawaonao watatikisa kichwa.
Methali 26:7 - Swahili Revised Union Version Miguu yake achechemeaye huwa dhaifu; Kadhalika mithali katika kinywa cha mpumbavu. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Methali mdomoni mwa mpumbavu, ni kama miguu ya kiwete inayoninginia. Biblia Habari Njema - BHND Methali mdomoni mwa mpumbavu, ni kama miguu ya kiwete inayoninginia. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Methali mdomoni mwa mpumbavu, ni kama miguu ya kiwete inayoning'inia. Neno: Bibilia Takatifu Kama miguu ya kiwete inavyoning’inia ndivyo ilivyo mithali katika kinywa cha mpumbavu. Neno: Maandiko Matakatifu Kama miguu ya kiwete inavyoning’inia ndivyo ilivyo mithali katika kinywa cha mpumbavu. BIBLIA KISWAHILI Miguu yake achechemeaye huwa dhaifu; Kadhalika mithali katika kinywa cha mpumbavu. |
Kwa ajili ya ulimi wao wataangamizwa; Wote wawaonao watatetemeka kwa hofu. Wote wawaonao watatikisa kichwa.
Maneno mazuri hayapendezi kinywani mwa mpumbavu; Sembuse midomo ya uongo kinywani mwa mkuu.
Akawaambia, Bila shaka mtaniambia mithali hii, Tabibu, jiponye nafsi yako; mambo yote tuliyosikia kwamba yametendeka Kapernaumu, yatende na hapa pia katika nchi yako mwenyewe.