Methali 26:6 - Swahili Revised Union Version Apelekaye ujumbe kwa mkono wa mpumbavu Hujikata miguu, na kunywa hasara. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Kumtuma mpumbavu ujumbe, ni kama kujikata miguu au kujitafutia shida. Biblia Habari Njema - BHND Kumtuma mpumbavu ujumbe, ni kama kujikata miguu au kujitafutia shida. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Kumtuma mpumbavu ujumbe, ni kama kujikata miguu au kujitafutia shida. Neno: Bibilia Takatifu Kama vile ilivyo kujikata miguu au kunywa sumu, ndivyo ilivyo kutuma ujumbe kwa mkono wa mpumbavu. Neno: Maandiko Matakatifu Kama vile ilivyo kujikata miguu au kunywa hasara, ndivyo ilivyo kutuma ujumbe kwa mkono wa mpumbavu. BIBLIA KISWAHILI Apelekaye ujumbe kwa mkono wa mpumbavu Hujikata miguu, na kunywa hasara. |
Kama baridi ya theluji wakati wa mavuno; Ndivyo alivyo mjumbe mwaminifu kwao wamtumao; Kwa maana huwaburudisha bwana zake nafsi zao.
Bali wale watu waliopanda pamoja naye wakasema, Hatuwezi kupanda tupigane na watu hawa; kwa maana wana nguvu kuliko sisi.