Methali 26:18 - Swahili Revised Union Version Kama mtu mwenye wazimu atupaye mienge, Na mishale, na mauti; Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Kama mwendawazimu achezeavyo mienge, au mishale ya kifo, Biblia Habari Njema - BHND Kama mwendawazimu achezeavyo mienge, au mishale ya kifo, Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Kama mwendawazimu achezeavyo mienge, au mishale ya kifo, Neno: Bibilia Takatifu Kama mwendawazimu atupaye mishale ya moto ya kufisha, Neno: Maandiko Matakatifu Kama mtu mwendawazimu atupaye vijinga vya moto au mishale ya kufisha, BIBLIA KISWAHILI Kama mtu mwenye wazimu atupaye mienge, Na mishale, na mauti; |
Hata mshale umchome maini; Kama ndege aendaye haraka mtegoni; Wala hajui ya kuwa ni hasara ya nafsi yake.
Tazama, ninyi nyote mwashao moto, mjifungiao hiyo mienge; endeni ninyi katika muali wa moto wenu, na katikati ya mienge mliyoiwasha. Mtayapata haya kwa mkono wangu; mtalala kwa huzuni.
Samsoni akaenda akakamata mbweha mia tatu; kisha akatwaa mienge ya moto akawafunga mbweha mkia kwa mkia, akatia mwenge kati ya kila mikia miwili.