Methali 26:18 - Swahili Revised Union Version18 Kama mtu mwenye wazimu atupaye mienge, Na mishale, na mauti; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema18 Kama mwendawazimu achezeavyo mienge, au mishale ya kifo, Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND18 Kama mwendawazimu achezeavyo mienge, au mishale ya kifo, Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza18 Kama mwendawazimu achezeavyo mienge, au mishale ya kifo, Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu18 Kama mwendawazimu atupaye mishale ya moto ya kufisha, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu18 Kama mtu mwendawazimu atupaye vijinga vya moto au mishale ya kufisha, Tazama suraBIBLIA KISWAHILI18 Kama mtu mwenye wazimu atupaye mienge, Na mishale, na mauti; Tazama sura |