Methali 25:16 - Swahili Revised Union Version Je! Umeona asali? Kula kadiri ya kukutosha; Usije ukashiba na kuitapika. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Upatapo asali kula kiasi cha kukutosha, usije ukaikinai na kuitapika. Biblia Habari Njema - BHND Upatapo asali kula kiasi cha kukutosha, usije ukaikinai na kuitapika. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Upatapo asali kula kiasi cha kukutosha, usije ukaikinai na kuitapika. Neno: Bibilia Takatifu Ukipata asali, kula kiasi tu cha kukutosha, ukila zaidi, utatapika. Neno: Maandiko Matakatifu Ukipata asali, kula kiasi tu cha kukutosha, ukila zaidi, utatapika. BIBLIA KISWAHILI Je! Umeona asali? Kula kadiri ya kukutosha; Usije ukashiba na kuitapika. |
Mguu wako usiingie katika nyumba ya jirani yako ila kwa kiasi; Asije akakukinai na kukuchukia.
Usiwe na haki kupita kiasi; Wala usijiongezee hekima mno; Kwa nini kujiangamiza mwenyewe?
kisha itakuwa, kwa sababu wanyama hao watatoa maziwa mengi, atakula siagi; kwa maana kila mtu aliyesalia katika nchi hii atakula siagi na asali.
Basi, jihadharini, mioyo yenu isije ikalemewa na ulafi, na ulevi, na masumbufu ya maisha haya; siku ile ikawajia ghafla, kama mtego unasavyo;