Methali 25:17 - Swahili Revised Union Version17 Mguu wako usiingie katika nyumba ya jirani yako ila kwa kiasi; Asije akakukinai na kukuchukia. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema17 Usimtembelee jirani yako mara kwa mara, usije ukamchosha naye akakuchukia. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND17 Usimtembelee jirani yako mara kwa mara, usije ukamchosha naye akakuchukia. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza17 Usimtembelee jirani yako mara kwa mara, usije ukamchosha naye akakuchukia. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu17 Nenda nyumbani mwa jirani yako mara chache; ukizidisha, atakukinai na atakuchukia. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu17 Ingiza mguu wako nyumbani kwa jirani yako mara chache, ukizidisha, atakukinai na atakuchukia. Tazama sura |