Methali 25:16 - Swahili Revised Union Version16 Je! Umeona asali? Kula kadiri ya kukutosha; Usije ukashiba na kuitapika. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema16 Upatapo asali kula kiasi cha kukutosha, usije ukaikinai na kuitapika. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND16 Upatapo asali kula kiasi cha kukutosha, usije ukaikinai na kuitapika. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza16 Upatapo asali kula kiasi cha kukutosha, usije ukaikinai na kuitapika. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu16 Ukipata asali, kula kiasi tu cha kukutosha, ukila zaidi, utatapika. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu16 Ukipata asali, kula kiasi tu cha kukutosha, ukila zaidi, utatapika. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI16 Je! Umeona asali? Kula kadiri ya kukutosha; Usije ukashiba na kuitapika. Tazama sura |